Mada za sehemu hiiKutumia maarifa na ujuzi wa chimbuko na ukuaji wa mfumo wa ukoloni kuelewa uhusiano wa kihistoria kati ya Tanzania na mataifa yaliyoitawalaMada 3
- Kuchambua chimbuko la ukoloni
- Kubainisha mataifa yaliyoitawala Tanzania na mifumo yake ya kikoloni katika uchumi, utawala na utamaduni
- Kujadili mchango wa mifumo ya kikoloni katika uhusiano wa Tanzania na mataifa yaliyoitawala
Swali
Ingia ili kuwasilisha jibu lako na lihesabiwe katika umahiri wako.
Ingia ili kufanya mazoeziMwalimu
Umekwama? Niulize chochote kuhusu mada hii.
Ingia ili kumuuliza Mwalimu wa AI wa Sonza kuhusu swali hili.
Ingia ili kuulizaMajadiliano
Hakuna maswali bado
Inapakia majadiliano…