Sonzaschool
Rudi

Msingi · Darasa la Tatu

Dini ya Kiislamu

Kuhusianisha sauti na herufi yenye Maddah (/ اــ يــ / وــ ) ya kurefusha sauti) Maddah haikai juu ya Ba (ب) moja kwa moja, bali huja baada ya Ba ikiwa imewekewa haraka yake. Baa (اَب) maddah ya Alif→ baa (sauti ya a inarefushwa) Buu (وُب) maddah ya Waw→buu (sauti ya u inarefushwa)] Bii (يِب) – maddah ya Yaa → bii (sauti ya i inarefushwa

Mada za sehemu hiiKumudu misingi ya kufahamu na kusoma Qur’anMada 3
  1. Kuhusianisha sauti na herufi yenye Shadda (ّ) → b-b ب (b-imerudiwa mara mbili, mfano:ّ َ = بِ ر rabbi
  2. Kuhusianisha sauti na herufi yenye Maddah (/ اــ يــ / وــ ) ya kurefusha sauti) Maddah haikai juu ya Ba (ب) moja kwa moja, bali huja baada ya Ba ikiwa imewekewa haraka yake. Baa (اَب) maddah ya Alif→ baa (sauti ya a inarefushwa) Buu (وُب) maddah ya Waw→buu (sauti ya u inarefushwa)] Bii (يِب) – maddah ya Yaa → bii (sauti ya i inarefushwa
  3. Kuhusianisha sauti na herufi yenye Sukuun (ْ) mfano:بْ → b tu bila sauti ya mwisho. Sauti inakatika ghafla— hakuna a, i, u. Mfano: بْ هَ ذْ ِا (idh-hab)

Mwalimu

Unasoma somo hili? Niulize nikuelezee chochote kilichomo.

Ingia ili kumuuliza Mwalimu wa AI wa Sonza kuhusu mada hii.

Ingia ili kuuliza

Majadiliano

Hakuna maswali bado

Ingia ili kuuliza
Inapakia majadiliano…