Mada za sehemu hiiKukuza uelewa wa misingi na kanuni za KiswahiliMada 5
- Kueleza dhana ya maana na aina zake
- Kubaini maneno yenye maana za msingi na za ziada katika matini mbalimbali
- Kutumia maneno yenye maana za msingi na ziada katika miktadha mbalimbali
- Kufafanua uhusiano wa kimaana wa maneno (mfano: antonimia, homonimia, sinonimia, na polisemia)
- Kutumia kamusi kubainisha maana za antonimia, homonimia, sinonimia na polisemia
Swali
Ingia ili kuwasilisha jibu lako na lihesabiwe katika umahiri wako.
Ingia ili kufanya mazoeziMwalimu
Umekwama? Niulize chochote kuhusu mada hii.
Ingia ili kumuuliza Mwalimu wa AI wa Sonza kuhusu swali hili.
Ingia ili kuulizaMajadiliano
Hakuna maswali bado
Inapakia majadiliano…