Mada za sehemu hiiKuelezea maendeleo ya jamii za Kitanzania na maadili yake kabla ya ukoloniMada 6
- Kueleza dhana ya maendeleo ya jamii (maana, viashiria na umuhimu)
- Kueleza shughuli za maendeleo ya jamii na uchumi (kilimo, ufugaji, uhunzi, ususi, ufinyanzi, uvuvi na makazi) na maadili yake kabla ya ukoloni
- Kubaini michango ya shughuli za uchumi kabla ya ukoloni katika maendeleo ya jamii
- Kubaini ushirikiano na uhusiano wa kiuchumi na kijamii baina ya jamii kabla ya ukoloni
- Kubaini mchango wa maendeleo ya sayansi na teknolojia ya asili katika kuendeleza shughuli za uchumi na maadili kabla ya ukoloni
- Kubaini wajibu wa jamii katika kuendeleza shughuli za uchumi na maadili yake kwa sasa
Swali
Ingia ili kuwasilisha jibu lako na lihesabiwe katika umahiri wako.
Ingia ili kufanya mazoeziMwalimu
Umekwama? Niulize chochote kuhusu mada hii.
Ingia ili kumuuliza Mwalimu wa AI wa Sonza kuhusu swali hili.
Ingia ili kuulizaMajadiliano
Hakuna maswali bado
Inapakia majadiliano…