Sonzaschool
Rudi

Msingi · Darasa la Tano

Kiswahili

Muundo wa vitendawili

takriban dakika 1 kusoma

Majadiliano
Mada za sehemu hiiVitendawiliMada 3

Vitendawili

Vitendawili ni tungo au semi fupifupi zilizofumbwa na hutumia lugha ya picha kuelezea wazo lililofichika. Kitendawili uhusisha watu wawili yaani mtegaji na mteguaji.

Muundo wa vitendawili

  • Kitendawili (mtegaji) — swali au kile anachosema mtegaji
  • Tega (mteguaji) — jibu la kitendawili

Kwa mfano:

  • Popo mbili zavuka mto — Kitendawili (mtegaji)
  • Macho — Tega (mteguaji)

Ikiwa mteguaji amekosa jibu hupaswa kumchagua mji mtegaji na mtegaji akiridhika na mji aliopewa hutoa jibu la kitendawili alichotega.

Vitendawili huundwa kwa taswira na tamathali za semi

  • SITIARI — Nyumba yangu ndogo lakini wapangaji wengi — kiberiti
  • DHIHAKA — Kitu kidogo kimemtoa mfalme kitini — haja
  • TANAKALI — Huku pi na kule pi — mkia wa kondoo anapotembea
  • TASWIRA — Babu yangu kalala kaacha ndevu nje — muhindi
  • TASHIHISi — Popo mbili zavuka mto — macho

Mwalimu

Unasoma somo hili? Niulize nikuelezee chochote kilichomo.

Ingia ili kumuuliza Mwalimu wa AI wa Sonza kuhusu mada hii.

Ingia ili kuuliza

Majadiliano

Hakuna maswali bado

Ingia ili kuuliza
Inapakia majadiliano…