Sonzaschool
Rudi

Msingi · Darasa la Tano

Kiswahili

Sifa za vitendawili

takriban dakika 1 kusoma

Majadiliano
Mada za sehemu hiiVitendawiliMada 3

Sifa za Vitendawili

  • Vitendawili huwa na mwanzo maalum (kitendawili - tega)

  • Vitendawili huwa ni baina ya mtegaji na mteguaji

  • Vitendawili huwa ni swali na jibu

    Swali: Nyumba yangu haina mlango

    Jibu: Yai

  • Vitendawili hurejelea vitu vinavyopatikana katika mazingira na vinavyojulikana. Mfano: Kuku wangu katagia mibani — nanasi

Mwalimu

Unasoma somo hili? Niulize nikuelezee chochote kilichomo.

Ingia ili kumuuliza Mwalimu wa AI wa Sonza kuhusu mada hii.

Ingia ili kuuliza

Majadiliano

Hakuna maswali bado

Ingia ili kuuliza
Inapakia majadiliano…